Tzgospel

Tzgospel Tanzania, Dar es Salaam
6 0

TZGOSPEL radio - WAABUDUO HALISI inayojitolea kueneza Injili kwa saa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki - kote ulimwenguni, kutangaza ibada za aina zote, madhehebu yote yanayounganisha watu kutoka nyanja zote za maisha kupitia nyimbo zinazo hamasisha na maudhui muhimu ya kikristo, yanayo angazia vipindi vinavozo burudisha na kufundisha maadili na huduma za kibiblia kutoka kwa wachungaji na viongozi wa Kikristo wenye ushawishi.

  • Slogan: Waabuduo halisi
2 comments
gospel tz
gospel tz
Tuambie unatusikiliza ukiwa wapiii
July 10, 2021 at 17:41 pm
gospel tz
gospel tz
Waabuduo halisi
June 22, 2021 at 20:31 pm
Contacts
Address : Dar es Salaam, Tanzania
Email: kiggermfoi@gmail.com
Phone: +255757560345
Facebook: https://www.facebook.com/tzgospel/
Twitter: https://twitter.com/tzgospel
Instagram: https://www.instagram.com/tzgospel/